Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza maana ya hotuba huku ukitolea mifano ya hotuba

Eleza maana ya hotuba huku ukitolea mifano ya hotuba.

Answers


KELVIN
Ni maelezo au taarifa itolewayo mbele ya hadhira kuhusu mada fulani, kwa kawaida hotuba ni mazungumzo rasmi kama vile:
1. Hafla za kisiasa (hotuba za wanasiasa)
2. Kanisani au msikitini (mahubiri)
3. Sherehe za kitamaduni k.v vikao vya posa.
4. Kortini kabla jaji hajatoa hukumu, anaweza kutanguliza hotuba.
5. Kwenye mazishi (taabili) taadhiri na risala za rambirambi.
6. Katika harusi mawaidha yanayotolewa kwa maarusi huchukua muundo wa hotuba
7. Katika tamasha za muziki na ukariri wa mashairi au mashindano ya utoaji hotuba.

kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 11:32

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions