Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Jadili maudhui ya ndoa katika hadithi ya mke wangu

Jadili maudhui ya ndoa katika hadithi ya mke wangu

Answers


KELVIN
? Ndoa ya msimulizi inavunjika kwa kukosa kazi.
? Za wengine wa mijini zinavunjika kwa wanaume kutaka kuwadhibiti wake au kuwatoa mambo ya kilimwengu.
? Ndoa huathirika ikiwa watu hawana mtazamo na mwelekeo mmoja.
? Ndoa za matabaka tofauti zaweza kuingia doa na kuvunjika. Unaweza kumtoa mtu shambani ilhali huwezi kutoa ushamba ndani yake.



kalvinspartan answered the question on August 15, 2018 at 12:14

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions