Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Jadili maudhui ya elimu kama yanavyo dhihirika katika hadithi ya mke wangu

Jadili maudhui ya elimu kama yanavyo dhihirika katika hadithi ya mke wangu.

Answers


KELVIN
? Humkomboa mwanamke kutokana na udhalilishaji wa mwanamume kwa vile inamwongezea mwanamke hadhi na hata kufanya mwanamume amwogope.
? Huwafanya watu kuwa watumwa kama vile kuwafanya wadharau kazi za mikono au kujiajiri wenyewe na kutaka tu kuajiriwa ofisini-uboi wawe wakitumwa.
? Yaweza kupotosha watu na kuwasahaulisha mila na desturi zao.

kalvinspartan answered the question on August 15, 2018 at 12:15

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions