Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Maswali ya balagha yametumika vipi katika hadithi ya mke wangu

Maswali ya balagha yametumika vipi katika hadithi ya mke wangu.

Answers


KELVIN
? Mangapi umeng’olewa?-Aziza kuonyesha uduni wa mbinu za sasa za kutunzia meno anazotumia msimulizi.
? Sijui mimi nilikuwa narudi kutoka wapi vile?-wakati msimulizi alimuona fedhele usiku. Kinaya ni kuwa yeye pia alikuwa anatembea usiku na kachelewa kurudi nyumbani.
? Kitu kilichokufa kina uzima gani wa kukuhami wewe?-Aziza akidharau kiatu.
? Vipi mtu atafute kazi asipate?-Aziza kuonyesha mtu hawezi kukosa kazi hata kama ni ya kujiajiri.
? Basi wewe ndiye mume wa kunioa mie we?-Aziza hamchukui msimulizi kuwa mumewe kwa kukosa kazi.

kalvinspartan answered the question on August 15, 2018 at 12:25

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions