Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Andika sentensi za mseto kutokana na mbili fupi ulizopewa a) Mwanafunzi amesoma kwa bidii. Mwanafunzi anataka kupita mtihani b) Leo nimerudi nyumbani. Sipendelei kuishi hapa

Andika sentensi za mseto kutokana na mbili fupi ulizopewa
a) Mwanafunzi amesoma kwa bidii. Mwanafunzi anataka
kupita mtihani
b) Leo nimerudi nyumbani. Sipendelei kuishi hapa

Answers


Kavungya
(i) Mwanafunzi amesoma- kwa bidii. Mwanafunzi anataka kupita mtihani
(a) Mwanafunzi anasoma kwa bidii ili apite mtihane. Pia kusudi / kwa kuwa
anataka/ kwa vile anataka/ ndiposa/ ndipo/ maadama/ mathali n.k

(ii) Leo nimerudi nyumbani. Sipendi kuishi hapa
(a) Leo nimerudi nyumbabi ingawa sipendelei kuishi hapa. Pia ijapo/
ilipokuwa/ hata kama/ ingawaje/ ijapokuwa/ lakini n.k
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 10:50

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions