Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Bw. Mosuka : Mheshimiwa spika, naichukua fursa hii kuipinga hoja iliyowasilishwa na mbunge wa Mahira, mheshimiwa Kochaberi kuhusu suala la kuavya.... (a) Hii ni sajili gani? (b) Eleza...

Bw. Mosuka : Mheshimiwa spika, naichukua fursa hii kuipinga hoja iliyowasilishwa na
mbunge wa Mahira, mheshimiwa Kochaberi kuhusu suala la kuavya....
(a) Hii ni sajili gani?
(b) Eleza sifa za mazungumzo ya sajili hii

Answers


Maurice
(a) Sajili ya bungeni

(b) Sifa
- Msamiati na istilahi huhusiana na bungeni kama vikao vya bunge, spika, mesi, karani.

- Hurejelea sheria za nchi au katiba katika kutetea hoja fulani inayojadliwa

- Lugha ya heshima katika mawasiliano na majadiliano-Mheshimiwa spika

- Kuchanganya ndimi katika mijadala, ili kujieleza vyema

- Wabunge hutaja msamiati unaorejelea sheria na kanuni za bunge wanapojadiliana kuhusiana na maswala mbali mbali, hasa shughuli za kinidhamu
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 10:53

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions