-
Taja nadharia zozote mbili zinazohusiana na chimbuko la lugha ya kiswahili
Date posted:
December 15, 2017
-
Eleza umuhimu wa ngano za kiayari.
Date posted:
December 14, 2017
-
Eleza matumizi matatu ya kiambishi -po.
Date posted:
December 14, 2017
-
Jadili dhamira ya mwandishi katika Tamthilia ya Kigogo.
Date posted:
December 14, 2017
-
Eleza tofauti baina ya kitenzi kishirikishi kikamilifu na kipungufu.
Date posted:
December 13, 2017
-
Eleza aina sita za sentensi kiuamilifu ukizingatia Kiimbo.
Date posted:
December 13, 2017
-
Eleza uhusiano uliopo baina ya fonetiki na fonolojia
Date posted:
December 11, 2017
-
Umuhimu wa shirikina,lakabu,ulumbi katika jamii
Date posted:
December 10, 2017
-
Eleza maana ya mbinu ya tashtiti
Date posted:
December 10, 2017
-
Ainisha: Hakikusomeka
Date posted:
December 9, 2017
-
Eleza maana tatu za sentensi hii: Wanafunzi wengine wamefika.
Date posted:
December 9, 2017
-
Ainisha viambishi katika neno amchaye
Date posted:
December 9, 2017
-
Taja sauti mbili ghuna zinazotamkika kwenye kaakaa laini
Date posted:
December 9, 2017
-
Tunga sentensi ukitumia kirejeshi kisisitizi cha wastani katika ngeli ya KU-KU
Date posted:
December 9, 2017
-
Tunga sentensi ya neno moja yenye vijenzi vifuatavyo
i)kikanushi
ii)Kiima katika nafsi ya tatu umoja
iii)Mtendewa katika nafsi ya tatu umoja
iv)wakati uliopita
v)mzizi wa kitenzi
vi)kauli ya kutendea
Date posted:
December 9, 2017
-
unga sentensi tofauti tofauti ukitumia neno 'haya' kama
i)Kivumishi
ii)Jina
iii) kiwakilishi
Date posted:
December 9, 2017
-
Kanusha katika wingi:
Uliko ndiko kuliko navyo
Date posted:
December 9, 2017
-
Vinyambue vitenzi hivi katika hali ya kutendesha:
Tota
Ogopa
Date posted:
December 9, 2017
-
Tunga sentensi kubainisha maana tofauti ya maneno haya:
Dalili
Dhalili
Date posted:
December 9, 2017
-
Tumia neno maskini kama kihisishi na Kivumishi
Date posted:
December 9, 2017
-
Tofautisha kati ya mofimu na kiambishi
Date posted:
December 9, 2017
-
Ainisha vielezi katika sentensi ifuatayo:
Mkulima mzuri ni yule alimaye vizuri sana kila siku
Date posted:
December 9, 2017
-
Andika katika usemi wa taarifa
"Mbona unamfanyia karaha mwenzako? Je? Utaenda kumwomba radhi?" Amani alimmwuliza Dora.
Date posted:
December 9, 2017
-
Bainisha kiwakilishi katika sentensi hii.
Mimi nitamsaidia
Date posted:
December 9, 2017
-
Toa mfano wa neno lenye silabi funge
Date posted:
December 9, 2017
-
Ngeli ya U-ZI ina miundo mbalimbali katika umoja na wingi.Onyesha mabadiliko hayo huku ukitoa mifano katika kila mojawapo.
Date posted:
December 9, 2017
-
Tunga sentensi ukitumia kihusishi 'katika' kuleta dhana ya hali
Date posted:
December 9, 2017
-
Tumia kitenzi vua katika sentensi kama
(i)Kishazi tegemezi
(ii)Kishazi huru.
Date posted:
December 9, 2017
-
Tambua kijalizo katika sentensi ifuatayo: Mwalimu Majisifu alikuwa mwalimu
Date posted:
December 9, 2017
-
Nakili viashiria vyote vya ngeli ya U-I wingi
Date posted:
December 9, 2017