-
(A)(i)Nini maana ya ngomezi.
(ii)Fafanua sifa za ngomezi.
(iii)Taja mifano mitatu za ngomezi za kisasa.
Date posted:
February 19, 2019
-
(A)(i)Miviga ni nini?
(ii)Fafanua sifa zozote za Miviga.
Date posted:
February 19, 2019
-
jinsi wanasagamoyo wanavyopambana na uongozi mbaya
Date posted:
February 19, 2019
-
K. Walibora: Kidagaa Kimemwozea
Kwa kurejelea hoja kumi na nne kutoka kwenye riwaya hii, thibitisha kwamba raia wa Tomoko walistahili kuogopa hata kuwa na uoga‘
Date posted:
February 1, 2019
-
K. Walibora: Kidagaa Kimemwozea
“Usinivue nguo kwa macho yako wee!”
Kwa kurejelea hoja kumi na mbili kutoka kwenye riwaya hii, thibitisha kwamba mzungumzaji anastahili kuvuliwa nguo. (alama 12)
Date posted:
February 1, 2019
-
Lakini waliogopa...waliogopa hata kuwa na uoga.”
(a) Eleza muktadha wa dondoo hili.
Date posted:
February 1, 2019
-
Jadili umuhimu wa kinachotafutwa katika riwaya ya Kidagaa Kimemwozea.)
Date posted:
February 1, 2019
-
Wasemao husema, atafutaye hachoki."
Haya ni maneno ya msimulizi yanamhusu:
(a) Fafanua muktadha wa dondoo hill.
Date posted:
February 1, 2019
-
Eleza maudhui ya kifo katika riwaya ya chozi la heri?
Date posted:
January 20, 2019
-
Taja umuhimu wa fasihi simulizi?
Date posted:
January 11, 2019
-
Taja umuhimu wa tanakali za sauti?
Date posted:
January 11, 2019
-
Taja maudhui yanayojitokeza katika hadithi ya tumbo lisiloshiba.
Date posted:
January 11, 2019
-
Eleza dhamira ya mwadishi katika hadithi ya Tumbo lisiloshiba?
Date posted:
January 9, 2019
-
Ni mikakati gani inayotumiwa na wananchi was sagamoyo ili kuhakikisha kwamba wamepata ukombozi kutoka mikononi MWA viongozi dhalimu
Date posted:
January 6, 2019
-
Jadili mbinu ya kinaya katika kigogo
Date posted:
January 2, 2019
-
"Sitaacha kula mkate kwa kuchelea kiungulia" eleza muktadha wa dondoo hili katika tamthilia ya kigogo
Date posted:
January 2, 2019
-
Taja misingi ya upangaji wa irabu za kiswahili.
Date posted:
January 2, 2019
-
Kwa kutoa mifano taja aina tano za methali.
Date posted:
January 1, 2019
-
Onyesha jinsi Majoka anavyowadhulumu wanasagamoyo.
Date posted:
December 29, 2018
-
Changanua sentensi kwa kutumia mtindo wa matawi(Mahubiri ya wakristo yaliyofanyika jana usiku yalisababisha furaha nyingi)
Date posted:
December 26, 2018
-
Eleza kinaya katika Kigogo.
Date posted:
December 19, 2018
-
Tumbo lisiloshiba ni anwani ya kijazanda. Fafanua
Date posted:
December 19, 2018
-
Jadili uozo uliomo katika jamii ya sagamoyo katika tamthilia ya kigogo.
Date posted:
December 18, 2018
-
Jadili namna mwandishi wa kigogo ameeleza suala la dhiki na masaibu ya wanyikazi katika sagamoyo
Date posted:
December 17, 2018
-
Taja wahusika wa kigogo na sifa zao.
Date posted:
December 15, 2018
-
Kivumishi in baadhi ya aina za maneno
Date posted:
December 12, 2018
-
Tofautisha kiima na kiarifa
Date posted:
December 6, 2018
-
kivipi semi ni fasihi?
Date posted:
December 5, 2018
-
Sifa za fonimu ni zipi?
Date posted:
December 2, 2018
-
Kamba ya bendera huitwaje kwa kiswahili?
Date posted:
November 16, 2018