Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Mwongozo wa tamthilia ya Bembea ya Maisha

Institution: School

Course: Kiswahili

Posted By: 0718055483

Document Type: PDF

Number of Pages: 99

Price: KES 150
  
    

Views: 253     Downloads: 4

Summary

Mwongozo wa Bembea ya Maisha. Maudhui, Wahusika, mbinu za lugha, maswali n.k

UTANGULIZI
VIGEZO MUHIMU KATIKA UCHAMBUZI WA TAMTHILIA HII
? Dhamira/ Lengo/ Mintarafu/ Kusudi: Nijambo linalokusudiwa na
mwandishi/ lengo kuu la
? Maudhui: Jumla ya maswala yanayozungumziwa na mwandishi
? Falsafa: Msimamo wa mwandishi kuhusu jambo fulani
? Muwala: Mtiririko wa vitushi/ mawazo katika kazi ya
? Usuli: Asili /hali inayomzunguka mwandishi na ambayo humchochea
kuandika kazi ya fasihi k.m. usuli wa mwandishi waweza kuwa
anazungukwa na jamii iliyojaa uongozi mbaya / ufisadi ndiyo maana
anaandika kuhusu maudhui
? Mandhari: Mahali ambapo wahusika wanatekelezea kazi ya K.m. njiani,
shuleni n.k.
? Wahusika: Ni viumbe ambao huendeleza mawazo ya mwandishi katika
kazi ya Wahusika waweza kuwa binadamu, Wanyama, viumbe halisi au
wa kidhahania (wa kufikirika tu).
......


Below is the document preview. Purchase to access the complete document.

  • _12893_0.jpg
  • _12893_1.jpg
  • _12893_2.jpg
  • _12893_3.jpg
........

This is the end of this document preview. Buy to download the complete document.


More Resources


More Content By 0718055483


View all resources