Mwongozo Wa Ushairi Na Uchambuzi

Institution: Secondary Level

Course: Kiswahili poetry

Posted By: momanyihenry667

Document Type: PDF

Price: KES 150            

Views: 137     Downloads: 0

Summary

Makala haya yanazungumzia ulingo wa ushairi na jinsi utanzu huu unavyochambuliwa.mwandishi amezingatia utanzu wenyewe kwa kufasili ushairi ni nini na pia kutoa mwelekeo wa namna mashairi yanavyostahili kuchambuliwa na wakereketwa mbalimbali wa kiswahili kama walimu, wanafunzi na wahakiki wa maswala ya ushairi.
Isitoshe, mwandishi ametoa mwangaza zaidi kwa kutoa uchambuzi wa bahari mbalimbali za ushairi wa kiswahili.jambo ambalo litamfaa sana mwanafunzi yeyote yule wa kiwango cha sekondari na vyuo.hivyo basi makala haha ni mwanga kwa wapenzi was kiswahili hasaa katika ulingo was ushairi.
Pia, Kuna maswali yanayozuka kutokana na utanzu huu mwishoni Mwa makala haya ambayo huwa ni nadra sana waandishi wengine kuyanzingatia.maswali haha yatamfaa sana mwanafunzi. 

More Resources


View all notes