Lek 800: Teaching Kiswahili As 2Nd Language I Question Paper

Lek 800: Teaching Kiswahili As 2Nd Language I 

Course:Master Of Education In Kiswahili

Institution: Masinde Muliro University Of Science And Technology question papers

Exam Year:2008Page 1 of 2

MASINDE MULIRO UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY(MMUST)
UNIVERSITY EXAMINATIONS
2008/2009 ACADEMIC YEAR
SECOND YEAR FIRST SEMESTER EXAMINATIONS
FOR THE DEGREE OF MASTERS OF EDUCATION IN KISWAHILI
COURSE CODE: LEK 800
COURSE TITLE: TEACHING KISWAHILI AS 2ND LANGUAGE I

DATE: 5th December 2008 TIME: 3.00 p.m. – 6.00 p.m.

MAAGIZO
JIBU MASWALI YOYOTE MATATU.

Page 2 of 2

1 a) Kwa kurejelea Mitazamo ya wataalamu mbalimbali, jadili dhana ya
Lugha. (alama 10)

b) Kwa kuzingatia kigezo cha uamilifu, bainisha aina mbalimbali za lugha.
(alama 10)

2. Jadili mbainisho uliopo kati ya lugha ya kwanza na lugha ya pili katika
muktadha wa urithi na upataji wa lugha yoyote. (alama 20)

3. Ni dhahiri ya kwamba, mtoto anaporithi na kujifunza lugha , hupitia hatua au
awamu mbalimbali za ukuaji: Kwa kurejelea wananadharia mbalimbali, jadili
kauli hii. (alama 20)

4. Jadili kwa tafsili mwelekeo wa kimawasiliano’ wa ufunzaji na ujifunzaji wa
lugha, huku ukionyesha jinsi unavyoweza kuafiki muktadha halisi wa darasani. (alama 20)

5. Jadili dhana ya ‘uwingilugha’( multilingualism) na athari zake katika muktadha
wa ufuuzaji na ujifunzaji lugha. (alama 20)

More Question Papers


Search for school, college and university past papers.

Return to Question Papers    
Quick Links
Kenyaplex On Facebook