Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Onyesha ufaafu wa mada "damu nyeusi"

Onyesha ufaafu wa mada "damu nyeusi"

Answers


KELVIN
? Kuachwa na mabasi ya abiria yanayoendeshwa na wazungu katika kituo wanapokuwa peke yao kwa kufikiriwa ni majambazi.
? Kukamatwa kwa makosa ambayo watu weupe hawakamatiwi kama vile kuvuka barabara taa nyekundu zikiwaka.
? Adhabu kali kwa makosa wanayofanya-alitozwa faini ya dola 200 au miezi sita gerezani kwa kosa la kutofunga zipu.
? Mkahawani, wanatazamwa kwa dharau na wateja na wahudumu.
? Kufuatwafuatwa na walinzi madukani kwa kushukiwa wataiba.
? Kuonewa vyuoni na wahadhiri wanaotoa alama kwa kupendelea watu weupe na kukandamiza wanafunzi weusi-hawapati shahada wanan’ang’ania kula kalenda au wanakaa muda mrefu bila kuhitimu.
? Huko marekani watu weusi ndio wengi magerezani-jela imeundiwa mtu mweusi.c
? Kutazamwa kwa kudharauliwa na wahadhiri weupe.
? Kuulizwa maswali ya dharau na wahadhiri wazungu na wanafunzi weupe.
? Mikahawani kumtazamwa kwa chuki na wateja na wahudumu.
? Kutendewa vitendo visivyo vya utu kama vile Fikirini aliposahau kufunga zipu, mama mzungu alimwitia polisi ilhali angemwambia tu afunge duka.

kalvinspartan answered the question on August 15, 2018 at 12:40

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions