-
“Tumbo Lisiloshiba na hadithi nyingine”
“Akanyangapo chini ardhi inatetemeka…………………..
Amejitia hamnazo. Kabwela kama mimi nina faida gani?
Eleza madhila kumi yaliyompata Kabwela
Date posted:
August 3, 2019
-
“Tumbo Lisiloshiba na hadithi nyingine”
“Akanyangapo chini ardhi inatetemeka…………………..
Amejitia hamnazo. Kabwela kama mimi nina faida gani?
Fafanua mbinu tatu za lugha zilizotumiwa katika dondoo hili
Date posted:
August 3, 2019
-
“Tumbo Lisiloshiba na hadithi nyingine”
“Akanyangapo chini ardhi inatetemeka…………………..
Amejitia hamnazo. Kabwela kama mimi nina faida gani?
Eleza muktadha wa dondoo hili
Date posted:
August 3, 2019
-
TAMTHILIA KIGOGO
Eleza matumizi ya mbinu zifuatazo katika tamthilia hii:
(i) Jazanda
(ii) Sadfa
(iii) Mbinu rejeshi
(iv) Wimbo
Date posted:
August 3, 2019
-
TAMTHILIA KIGOGO
Eleza mbinu kumi anazotumia Majoka kuendeleza uongozi wake Sagamoyo.
Date posted:
August 3, 2019
-
Maovu yametamalaki katika jamii ya Riwaya ya Chozi la Heri, tetea kauli hii kwa kutolea hoja kumi.
Date posted:
August 3, 2019
-
RIWAYA:CHOZI LA HERI –Asumpta K. Matei
" Lakini itakuwaje historical injustice, nawe Ridhaa, hapo ulipo sicho kitovu chako?"
Ni mambo gani yaliyowakumba wale ambao kitovu chao si hicho?
Date posted:
August 3, 2019
-
RIWAYA:CHOZI LA HERI –Asumpta K. Matei
" Lakini itakuwaje historical injustice, nawe Ridhaa, hapo ulipo sicho kitovu chako?"
Fafanua umuhimu wa msemaji wa maneno haya
Date posted:
August 3, 2019
-
RIWAYA:CHOZI LA HERI –Asumpta K. Matei
" Lakini itakuwaje historical injustice, nawe Ridhaa, hapo ulipo sicho kitovu chako?"
Eleza tamathali mbili za lugha zilizotumika kwenye dondoo hili
Date posted:
August 3, 2019
-
RIWAYA:CHOZI LA HERI –Asumpta K. Matei
" Lakini itakuwaje historical injustice, nawe Ridhaa, hapo ulipo sicho kitovu chako?"
Eleza muktadha wa dondoo
Date posted:
August 3, 2019
-
Eleza umuhimu wa semi katika jamii.
Date posted:
August 3, 2019
-
Eleza tofauti nne kati ya methali na vitendawili.
Date posted:
August 3, 2019
-
Huku ukitoa mifano mwafaka ,eleza miundo tano ya methali.
Date posted:
August 3, 2019
-
“Haya basi. Beba mmoja! Beba mmoja! Dada njoo. Nafasi ya mmoja. Ni mbao tu. Bei ya
chini kuliko keki. Usiachwe, bei ni poa.”
Taja sajili inayorejelewa na maneno haya.
Date posted:
August 2, 2019
-
Taja matumizi yoyote mawili ya kistari kirefu
Date posted:
August 2, 2019
-
Yakinisha katika hali ya mazoea.
Asiyeugua hahitaji daktari
Date posted:
August 2, 2019
-
Tumia neno ‘hadi’ kuonyesha mahali na wakati katika sentensi
Date posted:
August 2, 2019
-
Andika upya sentensi ifuatayo katika hali timilifu.
Mwanafunzi anasoma darasani
Date posted:
August 2, 2019
-
“Haya basi. Beba mmoja! Beba mmoja! Dada njoo. Nafasi ya mmoja. Ni mbao tu. Bei ya
chini kuliko keki. Usiachwe, bei ni poa.”
Fafanua sifa nne za sajili hii.
Date posted:
August 2, 2019
-
Eleza maana tatu za sentensi ifuatayo
Alisema angeenda kwao
Date posted:
August 2, 2019
-
Tambua miundo yoyote mitatu ya ngeli ya LI-YA
Date posted:
August 2, 2019
-
Andika katika udogo wingi
Mti wa msonobari unatengeneza meza nzuri sana
Date posted:
August 2, 2019
-
Eleza maana ya sentensi ifuatayo
(i) Ningalisoma kwa bidii ningalipita mtihani
(ii) Ningesoma kwa bidii ningepita mtihani
Date posted:
August 2, 2019
-
Eleza matumizi ya ‘ni’ katika sentensi hii
Ingieni darasani mara moja ili niwape zoezi ambalo ni rahisi
Date posted:
August 2, 2019
-
Andika kwa usemi wa taarifa
Karani: Njoo nikutume kwa babu yangu.
Mutuma: Sitaki kupita njia ya kwa babu
Date posted:
August 2, 2019
-
Changanua sentensi ifuatayo kwa kielelezo cha mstari
Mwanafunzi mwerevu sana aliyekuwa mgonjwa jana amepelekwa nyumbani
Date posted:
August 2, 2019
-
Ainisha vishazi katika sentensi ifuatayo
Kijana aliyezungumza na nyanyake ameingia katika darasa lililochafuliwa na wanafunzi
Date posted:
August 2, 2019
-
Ainisha vielezi vya namna katika sentensi hii.
Mzee huyu mkongwe alicheka kijinga huku akila haraka haraka
Date posted:
August 2, 2019
-
Tambua aina mbili za sentensi ukizingatia uamilifu na utoe mfano mmoja kwa kila moja
Date posted:
August 2, 2019
-
Ainisha viambishi katika neno lifuatalo
Yafutikayo
Date posted:
August 2, 2019