-
Mikakati inayotumiwa kukabiliana Na vikwazo vya mawasiliano katika lugha ya pili
Date posted:
November 30, 2017
-
Unda nomino mbilimbili kutokana na vitenzi hivi.
a)jaribu.
b)chuma
Date posted:
November 25, 2017
-
Taja aina mbili za viwakilishi nafsi
Date posted:
November 25, 2017
-
Unda vitenzi kutokana na nomino hizi.
i) Hotuba
ii) Tiba
Date posted:
November 25, 2017
-
Toa mifano miwili miwili kwa sauti zifuatazo:
i) Sauti ghuna ambazo ni vipasuo.
ii) Si ghuna ambazo ni vikwamizo.
Date posted:
November 25, 2017
-
Ziandike sayari zote kwa Kiswahili.
Date posted:
November 23, 2017
-
Eleza hatua muhimu zinazofuatwa katika uandishi na usahihishaji wa Insha.
Date posted:
November 23, 2017
-
Eleza mtindo wa uainishaji wa ngeli.
Date posted:
November 22, 2017
-
Andika tarakimu hii kwa maneno: 10,001.
Date posted:
November 21, 2017
-
ISIMUJAMII
Taja na ueleze njia tano zinazochangia maenezi ya lugha ya Kiswahili nchini.
Date posted:
November 20, 2017
-
Eleza matumizi ya vile katika sentensi hii.
Vile vile seremala alitengeneza meza.
Date posted:
November 20, 2017
-
Bainisha virai nomino, virai vivumishi, na virai vielezi katika sentensi ifuatayo:
Yule mwalimu mwenye ndevu amewasili ukumbini sasa hivi.
Date posted:
November 20, 2017
-
Tofautisha maana ya sentensi zifuatazo:
Chakula chote kitaharibika. Chakula chochote kitaharibika.
Date posted:
November 20, 2017
-
Eleza sababu tano za kuchanganya na kubadili ndimi/msimbo.
Date posted:
November 20, 2017
-
Huku ukitoa mifano halisia eleza tofauti iliyopo kati ya kuchanganya ndimi/ msimbo na kubadili ndimi/msimbo.
Date posted:
November 20, 2017
-
Tunga sentensi moja itakayodhihirisha maana mbili za neno ‘kijinga’
Date posted:
November 20, 2017
-
Bainisha vitenzi katika sentensi hii.
Juma ndiye aliyekuwa akiiba mifugo wa jirani.
Date posted:
November 20, 2017
-
Bainisha viwakilishi katika sentensi hii.
Aliwaletea kalamu tatu.
Date posted:
November 20, 2017
-
Eleza maana mbili zinazopatikana katika sentensi hii.
Huyu amekuja kutuliza.
Date posted:
November 20, 2017
-
Tunga sentensi kwa kutumia vivumishi vifuatavyo.
(i) Kivumishi cha kusisitiza
Date posted:
November 20, 2017
-
Ainisha viambishi katika sentensi hii.
Mlipewa
Date posted:
November 20, 2017
-
Huku ukizingatia riwaya ya kidagaa kimemwozea na ken walibora eleza umuhimu wa wahusika wafuatao Matuko Weye, Mtemi Nasaba Bora, Lowela
Date posted:
November 17, 2017
-
Eleza fani zifuatazo za maghani:
1.Vivigo
2.Tondozi
3.Pembezi
4.Rara
Date posted:
November 17, 2017
-
Andika visawe vya aina za maneno yafuatayo :
1. Nomino
2. Kitenzi
3. Kiwakilishi
4. Kielezi
Date posted:
November 16, 2017
-
Toa visawe vya aina hizi za maneno.
1. Nomino.
2. Kitenzi.
3. kiwakilishi.
4. kielezi.
Date posted:
November 16, 2017
-
Toa aina tatu za vitanza ndimi
Date posted:
November 13, 2017
-
Usanifishaji wa lugha ni nini?
Date posted:
November 13, 2017
-
Jadili mikondo hewa yoyote mitatu inayotumika katika utamkaji wa sauti za binadamu
Date posted:
November 13, 2017
-
Eleza maana ya Tenzi kisha utoe umuhimu wake
Date posted:
November 9, 2017
-
Eleza maana ya miviga
Date posted:
November 3, 2017