-
Eleza mbinu ya tanakuzi huku ukitolea mifano katika methali.
Date posted:
July 30, 2018
-
Eleza maana ya kinaya huku ukitoa mifano katika methali.
Date posted:
July 30, 2018
-
Eleza maana ya balagha huku ukitolea methali mbili kudhihirisha mbinu hii.
Date posted:
July 30, 2018
-
Eleza maana ya tashihisi.
Date posted:
July 30, 2018
-
Dhihaka au stihizaji ni mbinu gani ya lugha katika fasihi.
Date posted:
July 30, 2018
-
Eleza maana ya ishara kama mbinu ya lugha katika fasihi.
Date posted:
July 30, 2018
-
Kwa kutolea mifano eleza maana ya chuku
Date posted:
July 30, 2018
-
Eleza maana ya kweli kinzani
Date posted:
July 30, 2018
-
Taswira ni nini?
Date posted:
July 30, 2018
-
Fafanua maana ya tanakali za sauti.
Date posted:
July 30, 2018
-
Eleza maana ya tashbihi huku ukitolea mifano.
Date posted:
July 30, 2018
-
kwa kutolea mifano, eleza maana ya takriri
Date posted:
July 30, 2018
-
Huku ukitolea mifano eleza maana ya sitiari
Date posted:
July 30, 2018
-
Methali yaweza kuanishwa vipande tofauti. Eleza
Date posted:
July 30, 2018
-
Methali hunuwia madhumuni yapi katika jamii.
Date posted:
July 30, 2018
-
Eleza sifa tano za methali.
Date posted:
July 30, 2018
-
Eleza maana ya methali
Date posted:
July 30, 2018
-
Semi huwa na malengo yepi katika jamii.
Date posted:
July 30, 2018
-
Fafanua maana ya pembeziji.
Date posted:
July 30, 2018
-
Eleza maana ya tondozi
Date posted:
July 30, 2018
-
Majigambo yana umuhimu gani katika jamii.
Date posted:
July 30, 2018
-
Taja sifa zozote nne za majigambo.
Date posted:
July 30, 2018
-
Eleza mbinu ya kinaya katika tamthilia ya Kigogo
Date posted:
July 30, 2018
-
Jadili kauli hii kuwa lugha ya kiswahili ni lugha ya kiarabu
Date posted:
July 29, 2018
-
Eleza maana ya usemi halisi na usemi taarifa
Date posted:
July 29, 2018
-
Eleza sifa tano za lugha ya taifa
Date posted:
July 29, 2018
-
Mtafiti huenda akapatwa na changamoto nyanjani, fafanua.
Date posted:
July 25, 2018
-
Linganisha fasihi simulizi na fasihi andishi
Date posted:
July 25, 2018
-
TAMTHILIA YA MSTAHIKI MEYA
“Unaona sasa?Mlinidanganya.”Kauli hii ni idhibati tosha kuwa,Mstahiki Meya
alidanganyika na kuongozwa na falsafa zisizo na mashiko katika uongozi wake.Tetea ukweli
huu. (alama 20)
Date posted:
July 25, 2018
-
TAMTHILIA YA MSTAHIKI MEYA
“Najua ni kazi ila usisahau pia kwamba wafanyikazi wamegoma.”
(i) Fafanua muktadha wa dondoo hili. (alama 4)
(ii) Wahusika wawili wanaohusishwa na dondoo hili wamebaidika kama ardhi na `
mbingu. Thibitisha. (alama 16)
Date posted:
July 25, 2018