-
Changanua sentensi ifuatayo kwa msingi wa mistari: Nilimpikia
Date posted:
December 9, 2017
-
Tunga sentensi moja ukitumia -a- ya uhusiano kuonyesha umilikaji
Date posted:
December 9, 2017
-
Fafanua athari za mutilinguo
Date posted:
December 9, 2017
-
Andika mambo matano yanayosababisha mutilinguo
Date posted:
December 9, 2017
-
Eleza matumizi ya kiambishi 'ki' kwa kutoa mifano.
Date posted:
December 8, 2017
-
"...Bei ni ya leo...bei ni ya leo...mbao mbao, mbao mbao.."
i)Taja sajili ya maneno haya
ii)Taja sifa za ligha za sajili uliotaja
Date posted:
December 8, 2017
-
Tofautisha kati ya mzizi huru na mzizi tegemezi.
Date posted:
December 8, 2017
-
Taja sauti mbili aina za ving'ong'o
Date posted:
December 8, 2017
-
Changanua sentensi ifuatayo kwa kutumia mishale.
Mwalimu anasahihisha vitabu ilhali wanafunzi wanasoma polepole.
Date posted:
December 8, 2017
-
Geuza sentensi hii katika hali isiyodhihirika.
Mama ameenda sokoni
Date posted:
December 8, 2017
-
Yakinisha sentensi hizi
i)Mgeni hatarudi kwetu leo
ii)Kitabu hakisomeki vizuri.
Date posted:
December 8, 2017
-
Tambulisha kishazi huru na kishazi tegemezi katika sentensi hii.
Mgeni aliyekuja nyumbani jana alikaribishwa kwa furaha
Date posted:
December 8, 2017
-
Toa maana mbili katika sentensi.
Mama alimpigia mtoto mpira.
Date posted:
December 7, 2017
-
Taja matumizi ya 'na' katika sentensi.
Juma na Waweru wanapigana ilhali Nyenze anasoma.
Date posted:
December 7, 2017
-
Eleza matumizi mawili ya 'po'kwa kutunga sentensi moja.
Date posted:
December 7, 2017
-
Kanusha sentensi ifuatayo.
Ningekuwa na pesa ningenunua gari.
Date posted:
December 7, 2017
-
Taja sifa tatu bainifu za kuanisha konsonanti.
Date posted:
December 7, 2017
-
Taja maneno mawili yenye muundo zifuatazo za silabi
i)KIKI
ii)KIKKKI
iii)KKI
iv)KIKKIKI
Date posted:
December 7, 2017
-
Taja sifa tatu za kuainisha irabu
Date posted:
December 7, 2017
-
Tia shadda katika neno barabara kuleta maana mbili tofauti
Date posted:
December 7, 2017
-
Taja matumizi matatu ya kiimbo
Date posted:
December 7, 2017
-
Kwa kutoa mfano fafanua maana ya kiimbo
Date posted:
December 7, 2017
-
Tumia kiimbo kuleta maana tatu katika sentensi ifuatayo.
Mama amekufa.
Date posted:
December 7, 2017
-
Huku ukitoa mifano,eleza aina mbili za sentensi za kiswahili
Date posted:
December 7, 2017
-
Eleza muundo wa majina katika ngeli ya U-ZI
Date posted:
December 7, 2017
-
Andika katika usemi wa taarifa.
'Nitawatuza waliofanya vyema katika mtihani leo jioni.' Mwalimu aliwaahidi wanafunzi.
Date posted:
December 7, 2017
-
Tumia O-rejeshi kuleta hali ya mazoea:
Mwanafunzi ambaye alitia bidii masomoni ndiye ambaye alizawadiwa.
Date posted:
December 7, 2017
-
Eleza kaidi zozote tano zinazoathiri matumizi ya lugha
Date posted:
December 7, 2017
-
Tofautisha kati ya irabu /e/ na /u/
Date posted:
December 7, 2017
-
Ainisha mofimu katika neno aliyempenda
Date posted:
December 7, 2017