Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Kis 210: Kiswahili Phonetics &Amp; Phonology Question Paper

Kis 210: Kiswahili Phonetics &Amp; Phonology 

Course:Bachelor Of Education Arts

Institution: Masinde Muliro University Of Science And Technology question papers

Exam Year:2008



Page 1 of 2

MASINDE MULIRO UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY(MMUST)
UNIVERSITY EXAMINATIONS
2008/2009 ACADEMIC YEAR
SECOND YEAR FIRST SEMESTER EXAMINATIONS
FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION (ARTS)
COURSE CODE: KIS 210
COURSE TITLE: KISWAHILI PHONETICS & PHONOLOGY

DATE: 3rd December 2008 TIME: 8.00 a.m. – 11.00 a.m.

MAAGIZO
JIBU MSWALI YOYOTE MANNE; ANGALAU SWALI MOJA KUTOKA KILA
SEHEMU.

Page 2 of 2

SEHEMU A

1. a) Fonetiki ni nini. (alama 3 ½ )

b) Taaluma ya fonetiki ina manufaa gani kwako kama mwalimu wa Kiswahili. (alama 14)

2. Fafanua kwa mifano mwafaka matawi yoyote matatu ya Fonetiki. (alama 17 ½ )

3. ‘Ni dhahiri kwamba konsonanti za Kiswahili ni tukio la mifanyiko ya Ala-pahala
na Ala-sogezi’ Jadili kauli hii huku ukitoa mifano ya Kiswahili. (alama 17 ½ )

4. Jadili kwa kina sababu zilizopelekea kuundwa kwa AKIKI , kisha ufafanue
kanuni zake. (alama 17 ½ )

SEHEMU B

5. Huku ukitoa mifano maridhawa, jadilli sifa zozote nne na'Fonolojia
arudhi'.(alama 17 ½ )

6. Kwa kuzingatia mitazamo mbalimbali, jadili dhana ya Fonimu ya Kiswahili.

7. ‘Baadhi ya sauti za maneno ya lugha ya Kiswahili, hudhihirisha mabadiliko
anuwai ya kifonolojia’. Jadili. (alama 17 ½)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers