Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kis 211: Oral Literature In Kiswahili Question Paper

Kis 211: Oral Literature In Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education Arts

Institution: Masinde Muliro University Of Science And Technology question papers

Exam Year:2008



Page 1 of 2

MASINDE MULIRO UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY(MMUST)
UNIVERSITY EXAMINATIONS
2008/2009 ACADEMIC YEAR
SECOND YEAR FIRST SEMESTER EXAMINATIONS
FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION (ARTS)
COURSE CODE: KIS 211
COURSE TITLE: ORAL LITERATURE IN KISWAHILI

DATE: 8th December 2008 TIME: 11.30 a.m. – 2.30 p.m.

MAAGIZO
Jibu mswali yoyote MANNE.

Page 2 of 2

1. Huku ukitoa mifano mwafaka, jadili tofauti zilizoko kati ya fasihi simulizi na
fasihi andishi.

2. Tathmini muundo, mtindo na wahusika wa hadithi za kimapokezano.

3. Hadithi za fasihi simulizi hazina umuhimu wowote katika jamii. Jadili.

4. Jadili dhana zozote tatu kati ya zifuatazo:
i) Tarihi
ii) Matambiko
iii) Mivigha
iv) Ngonjera
v) Visasili

5. Jadili dhima zozote saba za nyimbo katika jamii.

6. Tathmini matatizo muhimu yanayoikabili fasihi simulizi ya Kiswahili.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers