Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

(a) Fafanua fani zifuatazo za fasihi simulizi (i)Ngano za mtanziko (ii) Mazingara (iii)Kifunga nyama (b) Umeombwa kusimulia darasani mughani wa Fumo Liyongo, eleza namna utakavyofanikisha...

      

(a) Fafanua fani zifuatazo za fasihi simulizi (i)Ngano za mtanziko (ii) Mazingara (iii)Kifunga nyama (b) Umeombwa kusimulia darasani mughani wa Fumo Liyongo, eleza namna utakavyofanikisha uwasilishaji wako.

  

Answers


ESTHER
(a) (i) Ngano za mtanziko
Ni hadithi ambapo mhusika anahitajika kufanya uteuzi katgi ya hali mbili ambapo uteuzi huwa ni mgumu kufanywa.
(ii) Mazingara
Ni maigizo ya uganga wa ramli yaani kupigwa ramli au kutazamiwa

(iii) Kifunga nyama
Ni mashairi ambayo ni ya mafumbo ambayo hufumbwa kimakusudi ili washairi wengine wayafumbue

(b) (i) kuihusisha hadhira _kupitia kwa ,kuuliza maswali
(ii) kufumia viziada lugha/ishara _ili kusisitiza ujumbe
(iii) Matumizi ya maleba _ ili kusisitiza ujumbe au kukitia kisa uhai
(iv) Kwa kutumia ufaraguzi _ kwa kubuni kisa upya ili kufurahisha hadhira
(v) Kwa kutumia fomula ya ufunguzi_ili kuteka nadhari ya hadhira
(vi) Matumizi ya urudiaji/takriri_ili kusisitiza ujumbe/udramatishaji muhimu
(vii) Kwa kutumia uigizaji_ namna lyongo alivyokuwa akitenda vitu Fulani ili
kukitia hai kisa
(viii) Kwa kutumia mtuo wa kidrama_kunyamaza kwa muda Fulani ili
kusisitiza jambo fulani
(ix) Kwa kutumia nyimbo _ili kuondoa ukinaifu
(x) Atumie lugha inayoeleweka kwa hadhira yake ili kufanikisha ujumbe
(xi) Kwa kutumia sauti ya kuvutia kwa hadhira ili kufurahisha hadhira zaidi
(xii) Kuwa mkakamavu mbele ya hadhira
(xiii) Kwa kutumia toni/kiimbo tofauti tofauti ili kunasa hisia za hadhira.
ESTHER STEVE answered the question on April 18, 2018 at 12:28


Next: Mike is offered and accepts a post of an accountant to start work in three weeks. A week later he receives a letter from his...
Previous: Explain how support in plants is achieved

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions