Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Orodhesha sifa zozote tano za ngano za mazimwi

      

Orodhesha sifa zozote tano za ngano za mazimwi

  

Answers


KELVIN
?Ni ujumbe wa kuogofya.
?Kila wanapopata nafasi huwatesa wanadamu.
?Huwa na sifa zinazojitenga na wanadamu wa kawaida kama vile macho matatu.
?Ni wenye uwezo kuliko binadamu.
?Ni wajinga, binadamu huweza kuwashinda kwa sababu ya ujanja wao.
?Kiwango cha taharuki ni cha juu.
?Hujumuika na binadamu katika ndoa, densi na vita

kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 09:38


Next: Fafanua maana ya ngano za mazimwi
Previous: Ngano za mazimwi huwa na umuhimu upi katika jamii kwa ujumla?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions