
? Huburudisha watazamaji na waigizaji wenyewe. Burudani hii mara nyingine hupumbaza.
? Huhifadhi na kuendeleza utamaduni wa jamii kama vile upashaji tohara, matambiko, majigambo, ngoma, miviga na michezo ya watoto hudumishwa kupitia maigizo.
? Ni kitambulisho cha jamii; kila jamii ina Sanaa ya maigizo ya jamii husika. Miviga na sherehe za arusi na mazishi hutofautiana kutoka jamii moja hadi nyingine.
? Hukuza umoja na ushirikiano wa watu wanapojumuika kushiriki katika maigizo. Hao hujitambulisha kama jamii moja.
? Ni nyenzo za kupitisha maarifa na amali za jamii kupitia michezo ya jukwaani.
? Husawiri mtazamo wa jamii kuhusu masuala mbalimbali kama vile woga, wizi na usaliti.
? Hukuza ubunifu madhalan watoto wanaposhiriki michezo ya watoto, hujifunza kubuni michezo wakiwa wachanga na pia Sanaa ya uigizaji.
? Hukuza kipawa cha uongozi katika michezo, huweza kujifunza stadi za uongozi
? Ni njia ya kuimarisha urafiki. Kwa vile mizaha na utani katika malumbano hukuza urafiki na uhusiano bora
? Huongoza jamii kupambana na na mazingira wanamojipata. Kutegemea imani ya wanajamii,matambiko yanaweza kuondoa matatizo katika jamii kama vile njaa, ugonjwa na ukame kwa kuomba Mungu
? Maigizo huelimisha kupitia maudhui na hulka za waigizaji na kushauri nafsi zao, kuiga au kukashifu hulka hizo.
kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 11:23
-
Taja sifa zozote tano za maigizo
(Solved)
Taja sifa zozote tano za maigizo.
Date posted:
July 24, 2018
.
Answers (1)
-
Taja vipera vya maigizo vinne
(Solved)
Taja vipera vya maigizo vinne
Date posted:
July 24, 2018
.
Answers (1)
-
Jadili tarihi katika fasihi simulizi
(Solved)
Jadili tarihi katika fasihi simulizi.
Date posted:
July 24, 2018
.
Answers (1)
-
Nini maana ya shajara?
(Solved)
Nini maana ya shajara?
Date posted:
July 24, 2018
.
Answers (1)
-
Visasili huchangia vipi katika jamii
(Solved)
Visasili huchangia vipi katika jamii.
Date posted:
July 24, 2018
.
Answers (1)
-
Mighani huwa na umuhimu upi katika jamii
(Solved)
Mighani huwa na umuhimu upi katika jamii.
Date posted:
July 24, 2018
.
Answers (1)
-
Taja sifa zozote tano za mighani
(Solved)
Taja sifa zozote tano za mighani.
Date posted:
July 24, 2018
.
Answers (1)
-
Eleza maana ya kidahizo au mchapo
(Solved)
Eleza maana ya kidahizo au mchapo.
Date posted:
July 24, 2018
.
Answers (1)
-
Nini sifa za udhubahi
(Solved)
Nini sifa za udhubahi.
Date posted:
July 24, 2018
.
Answers (1)
-
Ngano za kichimbakazi au udhubahi ni zipi
(Solved)
Ngano za kichimbakazi au udhubahi ni zipi
Date posted:
July 24, 2018
.
Answers (1)
-
Taja sifa nne za mbazi
(Solved)
Taja sifa nne za mbazi.
Date posted:
July 24, 2018
.
Answers (1)
-
Eleza maana ya mbazi au Vigano
(Solved)
Eleza maana ya mbazi au Vigano.
Date posted:
July 24, 2018
.
Answers (1)
-
taja sifa tano za soga
(Solved)
taja sifa tano za soga
Date posted:
July 24, 2018
.
Answers (1)
-
Eleza maana ya soga katika fasihi simulizi
(Solved)
Eleza maana ya soga katika fasihi simulizi
Date posted:
July 24, 2018
.
Answers (1)
-
Fafanua maana ya istiara
(Solved)
Fafanua maana ya istiara
Date posted:
July 24, 2018
.
Answers (1)
-
Sifa za ngano za mtanziko
(Solved)
Sifa za ngano za mtanziko
Date posted:
July 24, 2018
.
Answers (1)
-
Ngano za mitanzuko ni nini
(Solved)
Ngano za mitanzuko ni nini
Date posted:
July 24, 2018
.
Answers (1)
-
Ngano za usuli huwa na umuhimu upi katika jamii
(Solved)
Ngano za usuli huwa na umuhumu upi katika jamii
Date posted:
July 24, 2018
.
Answers (1)
-
Taja sifa nne za ngano za usuli
(Solved)
Taja sifa nne za ngano za usuli
Date posted:
July 24, 2018
.
Answers (1)
-
Nini maana ya ngano za usuli?
(Solved)
Nini maana ya ngano za usuli?
Date posted:
July 24, 2018
.
Answers (1)