Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Mighani huwa na umuhimu upi katika jamii

Mighani huwa na umuhimu upi katika jamii.

Answers


KELVIN
Umuhimu wa mighani
? Ni njia moja ya kupitisha au kuitunza historian ya jamii
? Ni njia ya kutukuza matendo ya kishujaa
? Hutumiwa kukuza ujasiri na ukakamavu wa kijamii
? Huburudisha
? Huelimisha wanajamii kuhusu maisha
? Hufunza utamaduni
? Hukuza lugha
? Hufunza maadili ya jamii


kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 10:34

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions