
? Neno linalotaja kiumbe, kitu, hali, mahali, tendo, dhana, n.k.
Aina
? Nomino za Pekee
? Ambazo hutaja kitu kwa kutumia jina lake/ambazo hutambulisha upekee wa kitu hicho.
? Mwanzoni huandikwa kwa herufi kubwa.
? majina ya watu k.m. Kamau
? mahali k.m. Mombasa
? siku k.m. Alhamisi
? miezi k.m. Disemba
? miaka k.m. 1930
? milima k.m. Kilimanjaro
? Mito k.m. Tana
? maziwa k.m. Victoria
? bahari k.m. Hindi
? Mabara k.m. Africa
? Nomono za Kawaida/Jumla
? Majina ya jumla ya viumbe/vitu vinavyoonyesha umbile la jinsi moja k.m. mtu, gari, kalamu, n.k.
? Nomino za Jamii
? Majina ya makundi ya viumbe au vitu k.m. bunge, jamii, halaiki, bunda n.k.
? Nomino za Wingi
? Majina ya vitu vitokeavyo kwa wingi japo kimsingi hazina umoja au wingi k.m. maji, mate, maziwa, mahubiri, marashi, mchanga, ngeu, poda, unga, n.k.
? Nomino za Dhahania
? Majina ya viumbe au mambo ya kudhani/yasiyoweza kugusika k.m. k.m ujinga, werevu, malaika, shetani, amani, imani, roho, wazo, dhana, n.k.
? Nomino za Vitenzi Jina
? Vitenzi vyenye kiambishi awali ku ambavyo huweza pia kutumika kama nomino k.m. Kucheza kwake kunaudhi.
kalvinspartan answered the question on August 5, 2018 at 13:18
-
Viyeyusho au nusu irabu ni sauti gani?
(Solved)
Viyeyusho au nusu irabu ni sauti gani?
Date posted:
August 5, 2018
.
Answers (1)
-
Kimadende ni sauti gani
(Solved)
Kimadende ni sauti gani
Date posted:
August 5, 2018
.
Answers (1)
-
Kitambazi ni sauti gani?
(Solved)
Kitambazi ni sauti gani?
Date posted:
August 5, 2018
.
Answers (1)
-
Eleza maana ya ving'ong'o au nazali
(Solved)
Eleza maana ya ving'ong'o au nazali.
Date posted:
August 5, 2018
.
Answers (1)
-
Eeza maana ya vipasuo kwamizo
(Solved)
Eeza maana ya vipasuo kwamizo.
Date posted:
August 5, 2018
.
Answers (1)
-
Eleza maana ya vikwamizo
(Solved)
Eleza maana ya vikwamizo.
Date posted:
August 5, 2018
.
Answers (1)
-
Eleza maana ya vipasuo
(Solved)
Eleza maana ya vipasuo
Date posted:
August 5, 2018
.
Answers (1)
-
Eleza maana ya viyeyusho
(Solved)
Eleza maana ya viyeyusho
Date posted:
August 5, 2018
.
Answers (1)
-
Eleza mahali ambapo kila irabu za kiswahili hutamkiwa na jinsi zinavyotamkwa
(Solved)
Eleza mahali ambapo kila irabu za kiswahili hutamkiwa na jinsi zinavyotamkwa.
Date posted:
August 5, 2018
.
Answers (1)
-
Taja aina tofauti za ala za sauti.
(Solved)
Taja aina tofauti za ala za sauti.
Date posted:
August 5, 2018
.
Answers (1)
-
Eleza aina tofauti za sauti katika lugha ya Kiswahili
(Solved)
Eleza aina tofauti za sauti katika lugha ya Kiswahili.
Date posted:
August 5, 2018
.
Answers (1)
-
Nini maana ya shadda au mkazo
(Solved)
Nini maana ya shadda au mkazo.
Date posted:
August 5, 2018
.
Answers (1)
-
Nini maana ya silabi?
(Solved)
Nini maana ya silabi?
Date posted:
August 5, 2018
.
Answers (1)
-
Ukusanyaji na uhifadhi wa fasihi ni muhimu kwa sababu zipi
(Solved)
Ukusanyaji na uhifadhi wa fasihi ni muhimu kwa sababu zipi.
Date posted:
August 5, 2018
.
Answers (1)
-
Udhaifu unakabili matumizi ya kalamu na karatasi katika kuhifadhi data
(Solved)
Udhaifu unakabili matumizi ya kalamu na karatasi katika kuhifadhi data.
Date posted:
August 5, 2018
.
Answers (1)
-
Eleza matumizi ya kalamu na karatasi katika kuhifadhi fasihi kisha utaje umihimu wake
(Solved)
Eleza matumizi ya kalamu na karatasi katika kuhifadhi fasihi kisha utaje umihimu wake.
Date posted:
August 5, 2018
.
Answers (1)
-
Mahojiano ninjia mojawapo ya kukusanya kazi ya fasihi.eleza maana yake huku ukitolea umihumu wake
(Solved)
Mahojiano ninjia mojawapo ya kukusanya kazi ya fasihi.eleza maana yake huku ukitolea umihumu wake.
Date posted:
August 5, 2018
.
Answers (1)
-
Umuhimu wa hojaji zinapotumiwa kukusanya fasihi
(Solved)
Umuhimu wa hojaji zinapotumiwa kukusanya fasihi.
Date posted:
August 5, 2018
.
Answers (1)
-
Matumizi ya hojaji yana umuhimu gani katika kukusanya fasihi
(Solved)
Matumizi ya hojaji yana umuhimu gani katika kukusanya fasihi
Date posted:
August 5, 2018
.
Answers (1)
-
Eleza umuhimu wa kutazama kama njia mojawapo ya kukusanya fasihi
(Solved)
Eleza umuhimu wa kutazama kama njia mojawapo ya kukusanya fasihi.
Date posted:
August 5, 2018
.
Answers (1)