Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza maana ya sentensi katika kiswahili huku ukitoa sifa zake

Eleza maana ya sentensi katika kiswahili huku ukitoa sifa zake.

Answers


KELVIN
? Sentensi ni fungu la maneno linalojitosheleza kimaana linalotumiwa katika mawasiliano.
Sifa
a) Huwa na ujumbe uliokamilika.
b) Huwa na mpangilio maalum wa maneno.
c) Huwa na muundo wa kiima na kiarifu.

kalvinspartan answered the question on August 5, 2018 at 13:20

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions