Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Uzembe ni Jambo la kawaida miongoni mwa wafanyakazi wa umma.Kwa kutolea mifano kumi tetea dai hili Kwa mujibu wa riwaya ya Kidagaa Kimemwozea.

Uzembe ni Jambo la kawaida miongoni mwa wafanyakazi wa umma.Kwa kutolea mifano kumi tetea dai hili Kwa mujibu wa riwaya ya Kidagaa Kimemwozea.

Answers


Esther
Mwalimu majisifu- anawaacha wasichana shuleni na kwenda ulevini akidai kuwa ata akiwafunza hawaelewi.
Mtemi Nasaba Bora- ni kiongozi anayefaa kuwahudumia watu waliomchagua ipasavyo anawatendea unyama.
-kuna uzembe pia katika wafinyikazi wa kitengo cha ardhi kwa kuwa hawakujali hata kutafuta ukweli ni nani mmiliki wa shamba mbalimbali zilizonyakuliwa.
Madaktari hospitalini- walikataa kuwahudumia Imani na Amani walipomchukua kitoto Uhuru hospitalini sikukuu.
Walinda usalama- walifuata amri walizopewa na mtemi bila kufuata haki ya raia.
Wachapishaji- hawakuweza kufanya kazi zao na kumchapishia mswada Amani kwa kuhitaji kupewa mlungula ndipo Majisifu akajinyakulia na kuchukua nafasi ya uandishi.
Wafungwa waliweza kuachiliwa licha ya kutekeleza maovu makubwa yaliyohitaji vifungo vya maisha. Mfano, Gaddafi ; kakake Imani.


Estherjeps answered the question on August 31, 2018 at 18:45

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions