Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Andika upya sentensi zifuatazo ukitumia neno amba (i) Kijiti kilichovunjika kilimwumiza Amina guu kenyaplex (ii) Barua zitakazoandikwa na baba kesho zitatumwa mwaka ujao.

Andika upya sentensi zifuatazo ukitumia neno amba
(i) Kijiti kilichovunjika kilimwumiza Amina guu kenyaplex
(ii) Barua zitakazoandikwa na baba kesho zitatumwa mwaka
ujao.

Answers


Kavungya
(i) Kijiti ambacho kilivunjika kilimuumiza Amiza mguu
(ii) Barua ambazo zitaandikwa na baba kesho zitatumwa mwaka ujao
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 10:17

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions