Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Sahihisha sentensi hizi: (i) Bahasha ilionunuliwa jana ni kubwa na mzuri (ii) Mananasi hizi zinauzwa ghali kwa sababu zimeiva vizuri sana

Sahihisha sentensi hizi:
(i) Bahasha ilionunuliwa jana ni kubwa na mzuri
(ii) Mananasi hizi zinauzwa ghali kwa sababu zimeiva vizuri sana

Answers


Kavungya
(i) Bahasha iliyonunuliwa jana ni kubwa na nzuri
(ii) Mananasi haya yanauzwa ghali kwa sababu yameiva vizuri sana
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 10:18

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions