-
Eleza thana ya nomino za pekee.
Date posted:
October 11, 2017
-
Eleza matumizi matatu ya kikomo huku ukitolea mifano mwafaka.
Date posted:
October 11, 2017
-
Ni nini umuhimu wa kusanifisha lugha ya Kiswahili?
Date posted:
October 10, 2017
-
Usanifishaji wa lugha ni nini?
Date posted:
October 10, 2017
-
Ala tuli ni nini?
Date posted:
October 10, 2017
-
Kanusha sentensi hii kwa kutumia kiwakilisho amba (alama 2)
Ubao upakwao rangi hupendeza
Date posted:
October 10, 2017
-
Unda nomino mbili kutokana na neno hudumu
Date posted:
October 10, 2017
-
Bainisha matumizi ya ‘ni’ katika sentensi ifuatayo:
Twendeni tuone mhubiri ni nani?
Date posted:
October 10, 2017
-
Tunga sentensi ukitumia neno ‘kinanda’ kisha ubainishe ngeli yake.
Date posted:
October 10, 2017
-
Andika kwa wingi:
Ugomvi ulipozuka pale ulimi wake ulipatapata.
Date posted:
October 10, 2017
-
Kanusha sentensi ifuatayo:
Chakula ambacho kimepikwa sasa kisingalinunuliwa jana kisingaliiva mapema.
Date posted:
October 10, 2017
-
Tunga sentensi moja moja inayodhihirisha matumizi ya maneno yafuatayo
i) Angalau
ii) Aghalabu
Date posted:
October 10, 2017
-
Taja king’ong’o cha kaakaa gumu.
Date posted:
October 10, 2017
-
Eleza maana ya mofimu
Date posted:
October 10, 2017
-
Mtu aliyefiwa akiambiwa 'makiwa'anapaswa kujibu vipi iwapo mazishi ya marehemu yamekamilika
Date posted:
October 10, 2017
-
Identify the method used in making sangoan tools.
Date posted:
October 9, 2017
-
Tunga sentensi mojamoja kubainisha: i) kihusishi cha wakati
Date posted:
October 4, 2017
-
Andika sauti mwambatano inayotarnkiwa kwenye ufizi
Date posted:
October 4, 2017
-
Eleza maana ya sauti mwambatano
Date posted:
October 4, 2017
-
"Rununu (simutamba) imeleta athari mbaya katika jamii." Jadili
Date posted:
October 4, 2017
-
Linganisha na ulinganue fasihi simulizi na fasihi andishi.
Date posted:
September 29, 2017
-
Maana ya hadithi na sifa zake
Date posted:
September 27, 2017
-
Unda jina moja kutokana na majina yoyote mawili ya Kiswahili sanifu
Date posted:
September 25, 2017
-
Yaandike maneno yafuatayo katika ufupi wake
(i) Shangazi zako
(ii) Mama zako
Date posted:
September 25, 2017
-
Tofautisha maana
(a) Ningekuwa na uwezo ningesafiri kwenda ng’ambo
(b) Ningalikuwa na uwezo ningalisafiri kwenda ng’ambo
Date posted:
September 25, 2017
-
Eleza tofauti ya semi mbili zilizopigwa mstari
(a) Kevoga hana muhali; ikiwa hawezi kukufanyia jambo atakwambia (hana muhali)
(b) Kevogo hana muhula; hivi sasa amekuambia hawezi kukufanyia jambo hili
Date posted:
September 25, 2017
-
Andika sentensi tatu kuonyesha maana tatu tofauti za neno KINA
Date posted:
September 25, 2017
-
Sentensi ifuatayo ina maana mbili totauti. Zieleze
Huyu amekuja kutuliza
Date posted:
September 25, 2017
-
Ni mbinu gani za lugha zinazotumiwa katika sentensi hizi?
(a) Juma si simba wetu hapa kijijini
(b) Juma ni shujaa kama simba
Date posted:
September 25, 2017
-
Tumia viunganishi vifuatavyo katika sentensi
(a) Minghairi ya
(b) Maadam
Date posted:
September 25, 2017