Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Maenezi ya Kiswahili Afrika Mashariki punde baada ya uhuru yalikuwa na chagamoto tele. Fafanua zozote tano.

Maenezi ya Kiswahili Afrika Mashariki punde baada ya uhuru yalikuwa na chagamoto tele. Fafanua zozote tano.

Answers


ESTHER
(a) Uhaba mkubwa wa wataalamu wa Kiswahili
(b) Athari kutoka kwa lugha ya kwanza.
(c) Watu kuchangamkia lugha nyinginezo kama vile kiingereza, kijerumani.
(d) Imani potovu – lugha ya Kiswahili ni duni
(e) Uhaba wa walimu wa Kiswahili.
(f) Uhaba wa vitabu vya Kiswahili.
(g) Kutokuwepo kwa sera ya lugha kutoka kwa baadhi ya serikali za mataifa ya Afrika mashariki.
(h) Uhaba wa pesa za kutafitia
(i) Nchi za Afrika kupuuza kukuza na kuendeleza Kiswahili
ESTHER STEVE answered the question on May 14, 2018 at 19:58

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions