Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Thibitisha jinsi mwandishi wa Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea alivyo fanikisha maudhui ya uwajibikaji.

Thibitisha jinsi mwandishi wa Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea alivyo fanikisha maudhui ya uwajibikaji.

Answers


ESTHER
- Amani anakilea kitoto Uhuru kama mwanawe baadaya Mtemi kukipagaza mlangoni kwake.
- Bi. Zuhura anawasaidia Amani na Imani kukilea kitoto Uhuru.
- Amani na Imani wanaishi katika kibanda kimoja lakini hawakiuki mipaka ya uhusiano wao.
- Imani anabadili mawazo yake kuhusu tendo la kujiua.
- Wafanyikazi wa Mtemi wanajitahidi kunadhifisha kasri.
- Amani anafunga safari ili kupata aliyemwibia mswada wake.
- Madhubuti anajitenga na ufisadi wa babake.
- Ben Bella anavunja uhusiano wake na Mashaka.
- Amani anafichua siri yake kwa Madhubuti kwa wakati ufaao.
- Amani na Imani wanafunga ndoa tu baada ya kukamilisha masomo.
ESTHER STEVE answered the question on May 14, 2018 at 19:44

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions