Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Jadili mbinu ya sadfa katika Kidagaa Kimemwozea.

Jadili mbinu ya sadfa katika Kidagaa Kimemwozea.

Answers


ESTHER
Kukutana kwa Amani na Imani pale ziwa Mawewa.
- Amani na Imani kukutana na Dj pale mto Kiberenge kisha anawapeleka kwa Mtemi.
- Amani kufika tu kwa Mtemi anapohitaji mchungaji.
- Majisifu kupata tu barua ya mwaliko wa kutoa mhadhara baada ya kubishana na Mkewe kuhusu ubingwa wake katika uandishi.
- Bi.Zuhura anapomwita Amani chumbani kwake Mtemi anawasili.
- Amani anafika tu pale ambapo Oscar kambona anataka kulipiza kisasa kwa Mtemi.
- Amani na Imani kuajiriwa na ndugu.
- Amani na Imani wanakutana wakati tu wote wameharibikiwa na mambo.
- Dj anapita kibandani kwa Amani wakati Amani anawaza kuhusu kile kitoto Uhuru. Dj anaenda kumwita Imani kumsaidia Amani.
- Kitabu anachopewa Amani kusoma pale pa Majisifu ni kidagaa ambacho ni kitabu chake.
ESTHER STEVE answered the question on May 14, 2018 at 19:42

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions