Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Jadili maudhui ya ujenzi katika jamii katika tamthilia ya Kigogo

Jadili maudhui ya ujenzi katika jamii katika tamthilia ya Kigogo.

Answers


Raphael
1.UONGOZI MBAYA.Tunamwona Majoka anafungulia biashara ya ukataji miti, pia tunamwona akipea Mama pima kibali cha kuuza pombe haramu.

2.UFISADI.Majoka ananyakua mali ya serikali kama vile tunamwona anachukua soko la chapakazi na anataka kujenga hoteli ya kifahali.

2.UKATILI.Majoka anamtumia majambazi Tunu ili wakaamuuwe.
Earlen answered the question on October 13, 2018 at 13:34

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions