Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Ni nini maana ya dhana Sintaksia?

Ni nini maana ya dhana Sintaksia?

Answers


Yegon
Sintaksia ni uchunguzi wa viambajengo vya sentensi ( virai na vishazi vinavyotumiwa kujenga sentensi) na ruwaza zao.
Uchunguzi huu wa kisintaksia hubainisha vipande viwili vikuu vya sentensi; Kiima na Kiarifa.
Kiima ni sehemu ya sentensi inayobeba nomino au kiwakilishi chake na husheheni kitenda au mtenda wa kitendo kinachotajwa kwenye sentensi.
Kiarifa ni kipashio kinachotoa maelezo zaidi kuhusu kiima.

Welyekip answered the question on August 26, 2018 at 14:01

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions