Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Lugha ya 'sheng' imekua lugha ambayo vijana wameipenda saana. Taja sifa saba ya sheng?

Lugha ya 'sheng' imekua lugha ambayo vijana wameipenda saana. Taja sifa saba ya sheng?

Answers


Cyril
1.sheng huwa na msamiati maahalumu unaotumiwa na vikundi vya watu wenye sifa au tabia fulani.

2.Maneno husika hupewa maana mpya zilizotofauti na zile zilizozoeleka katika lugha nyingine.

3.sheng,aghalabu huwa mchanganyiko wa lugha nyingi.

4.sheng,huwa na ufupisho wa maneno na sentensi.

5.Msamiati wake huwafinyu na chakavu.

6.sheng hujumuisha maneno mapya na Manono ya kawaida.


- Huchanganya lugha hasa kiswahili na kingereza kama utado, anani enjoy.
- Hufupisha maneno kama mtoi, tao, Nai , Kach
- Hutumia misimbo kama keja, ocha, ndae
- Lugha fiche kama ganja (bangi), mapai (polisi)
patmalone254 answered the question on August 29, 2018 at 12:08

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions