Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Elezea maana ya lafudhi na sababu za kuwa nazo

Elezea maana ya lafudhi na sababu za kuwa nazo.

Answers


Cyril
Lafudhi ni upekee wa mtu kuzungumza au jinsi anavyo zungumza,nimatamshi ya mzungumzaji yanayojitokeza kutokana na athari za lugha yake ya kwanza.
mfano:ria badala ya lia.
papa badala ya baba.

sababu za Kuwa na Lafudhi.
.Athari ya lugha zingine zinazomzunguka mzungumzaji.
.Athari ya lugha ya mama au sehemu anayotoka.
.kasoro inayotokea Katika ala za matamshi za mzungumzaji.
patmalone254 answered the question on August 27, 2018 at 19:56

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions