Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Elezea hatua za usanifishaji?

Elezea hatua za usanifishaji?

Answers


Cyril
1.kuchagua lugha au moja ya usanigishaji miongoni mwa lugha au lahaja nyingiza.
2.kuiweka hiyo lugha au lahaja katika maandishi amabako utaratibu wa kuendeleza maneno huamuliwa na herufi zitakazotumiwa huachaguliwa.
3.kuipanua lahaja hiyo/lugha kimatumizi ambapo uamuzi hutolewa kuhusu Mahalia lugha hiyo itakapotumiwa k.m redioni
4.kuindeleza au kuikuza hiyo lugha Kwa Kutumia vyombo vya habari k.v radio, runinga
patmalone254 answered the question on August 29, 2018 at 05:33

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions