-
Eleza uhusiano uliopo baina ya mafumbo na chemsha bongo.
Date posted:
August 5, 2018
-
Vitanza ndimi huwa na dhima gani katika jamii.
Date posted:
August 5, 2018
-
Eleza maana ya vitanza ndimi.
Date posted:
August 5, 2018
-
Lakabu zina umuhimu gani katika jamii.
Date posted:
August 5, 2018
-
Taja sifa tano mahususi za lakabu.
Date posted:
August 5, 2018
-
Tunga sentensi ukitumia nomino milikishi na nomino dhahania.
Date posted:
August 4, 2018
-
Chagizo ni nini?
Date posted:
August 4, 2018
-
Onyesha shadda katika maneno yafuatayo;
a]mtoto
b]kibuyu
c]mwalimu
Date posted:
August 3, 2018
-
Shadda ni nini?
Date posted:
August 3, 2018
-
Nini maana ya kijalizo katika sarufi ya Kiswahili?
Date posted:
August 3, 2018
-
Eleza maana ya lakabu.
Date posted:
July 30, 2018
-
Eleza njia tofauti za kuanisha misimu
Date posted:
July 30, 2018
-
Taja sifa nne kuu za misimu
Date posted:
July 30, 2018
-
Misimu ina dhima gani?
Date posted:
July 30, 2018
-
Nini maana ya misimu?
Date posted:
July 30, 2018
-
Taja jinsi methali na vitendawili zinavyowiana.
Date posted:
July 30, 2018
-
Toa mifano ya vitendawili vinavyohusiana na methali.
Date posted:
July 30, 2018
-
Eleza matumizi ya mbinu ya utata katika vitendawili huku ukitolea mifano.
Date posted:
July 30, 2018
-
Mbinu ya taswira hutumika vipi katika vitendawili?toa mifano miwili.
Date posted:
July 30, 2018
-
Tambua mifano ya vitendawili vinavyotumia tanakali za sauti.
Date posted:
July 30, 2018
-
Toa mifano miwili inayoonyesha matumizi ya takriri katika kitendawili.
Date posted:
July 30, 2018
-
Onyesha matumizi ya kweli kinzani katika kitendawili.
Date posted:
July 30, 2018
-
Tolea mifano vitendawili vinavyotumia stihizai kama mbinu ya lugha.
Date posted:
July 30, 2018
-
Toa mifano ya vitendawili vinavyodhihirisha matumizi ya taashira.
Date posted:
July 30, 2018
-
Onyesha matumizi ya tashihisi katika vitendawili.
Date posted:
July 30, 2018
-
Huku uitolea mifano ya vitendawili,onyesha matumizi ya sitiari.
Date posted:
July 30, 2018
-
Eleza mtindo wa vitendawili.
Date posted:
July 30, 2018
-
Je vitendawili huwa na umuhimu gani katika jamii.
Date posted:
July 30, 2018
-
Taja sifa zozote tano za vitendawili.
Date posted:
July 30, 2018
-
Eleza maana ya vitendawili.
Date posted:
July 30, 2018