Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kiswahili Karatasi Ya 1  Question Paper

Kiswahili Karatasi Ya 1  

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2008



102/1
KISWAHILI
Karatasi ya 1
Julai / Agosti 2008
MUDA: Saa 1 ¾
MTIHANI WA MWIGO WILAYA YA BONDO/RARIEDA - 2008
HATI YA KUHITIMU KISOMO CHA SEKONDARI
102/1
KISWAHILI
Karatasi ya 1
Julai / Agosti 2008
MUDA: Saa 1 ¾
MAAGIZO:
Andika insha mbili.
Insha ya kwanzq ni ya LAZIMA
Kisha chagua insha moja nyingine kutoka hizo nne zilizobakia
Kila insha isipungue maneno 400
Kila insha ina alama 20

2
Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa chapa
Watahiniwa lazima wahakikishe kurasa zote zimepigwa chapa sawa sawa na kuwa maswali yote yamo.
1. Kumekuwa na uharibifu wa misitu humu nchini, wewe ni askari wa misitu na
katika harakati zako za kazi umekutana na washukiwa wawili waliokuwa
wakikata na kuharibu miti. Andika mazungumzo kati yenu.
2. Mpiga ngumi ukuta huumiza mkonowe.
3. Umaskini umeendelea kusambaa sana katika nchi yetu ya Kenya. Eleza jinsi
serikali na jamii inavyoweza kuchangia kuondoa tatizo hili.
4. Andika insha itakayoishia kwa maneno haya;
……………………………….aligeuka na kuangalia nyuma alikotoka. Ndimi za
moto zilikuwa bado zikionekana na kumkumbusha janga lililomfika.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers