Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Butere Mumias District Mock-Kiswahili Paper 1 Question Paper

Butere Mumias District Mock-Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2007



Name………………………………………………… Index No. …………………….
School ………………………………………………...
102/1
KISWAHILI
KARATASI YA KWANZA
INSHA
JULAI / AGOSTI. 2007
MUDA: SAA 1 ¾
MTIHANI WA MWIGO WILAYA YA BUTERE MUMIAS-2007
Hati ya kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya
102/1
KISWAHILI
KARATASI YA KWANZA
INSHA
JULAI / AGOSTI. 2007
MUDA: SAA 1 ¾
MAAGIZO
• Andika insha MBILI
• Swali la kwanza ni la Lazima
• Kisha chagua insha moja nyingine kutoka hizo nne zilizobakia.
• Kila insha ni ya alama 20
• Kila insha isipungue maneno 400.2
Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa chapa
Watahiniwa lazima wahakikishe kurasa zote zimepigwa chapa sawa sawa na kuwa maswali yote yamo.
1. Wewe ni mwenyekiti wa halmashauri ya kupambana na ufisadi nchini mwako.
Andika tangazo litakalochapishwa kwenye gazeti la taifa leo ukifafanua mikakati
inayotumiwa na serikali kupambana na janga hilo.
2. Mwenye pupa hadiriki kula tamu.
3. Pendekeza njia mbali mbali za kupambana na tatizo sugu la ajira ya watoto.
4. Vijana wa leo wanakabiliwa na changamoto nyingi kimaisha kuliko vijana wa
enzi zilizopita. Jadili.
5. Sauti zile zilififia ghafla jinsi zilivyokuwa zimeibuka. Nilihisi damu ikiniganda
mwilini huku nikiishiwa na nguvu……………. Endeleza .






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers