Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Uasin Gishu District Mock-Kiswahili Paper 1 Question Paper

Uasin Gishu District Mock-Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2006



KISWAHILI
102 / 1
1. Wilaya yako imekuwa haifanyi vizuri katika mitihani ya kitaifa
ya sekondari kwa muda mrefu. Jambo hili limemkera mkuu wa
Elimu wilayani ambaye anataka uchunguzi ufanywe. Wewe na
watu wengine mmechaguliwa kuchunguza chanzo cha matokeo
haya mabaya. Ukiwa katibu wa kamati hii, iandike ripoti yenu.
2. Pendekeza hatua zinazofaa kuchukuliwa kukabiliana na baa la
njaa nchini.
3. Ukilima panitosha, utavuna pamekwisha.
4. Ulimwengu wa teknolojia ya kisasa una madhara mengi. Jadili.
5. Endeleza insha hii
Mwili ulizidi kuingiwa na mzizimo wa hofu kila niliposikia
maombolezi ya “ yalaa maskini, yalla nakufa!’’ ...






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers