Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Turkana District Mock-Kiswahili Paper 1 Question Paper

Turkana District Mock-Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2006



info
1
HALMASHAURI YA MITIHANI YA WILAYA YA TURKANA - 1006
102/1A
KISWAHILI
JULAI / AGOSTI - 2006
KARATASI YA 1
MUDA: SAA 1 ¾
WILAYA YA TURKANA BARAZA LA MITIHANI- 2006
Hati Ya Kuhitimu Kisomo Cha Sekondari (K.C.S.E.)
102/1A
KISWAHILI
JULAI / AGOSTI - 2006
KARATASI YA 1
MUDA: SAA 1 ¾
Maagizo:
_ Andika insha mbili
_ Insha ya kwanza ni ya lazima
_ Kila insha isipungue maneno 300 wala kuzidi 400
_ Kila insha ina alama 20
Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa chapa
Watahiniwa wanastahili kuona kuwa maswali yote yako na hakuna yaliyooachwa.
1. Wewe kama mwenyekiti wa shirika lisilo la serikali linaloshughulika na vita dhidi ya
ufisadi nchini, andika ripoti ya utafiti wenu kuhusu swala hili kama ilivyo kwa sasa.
2. Ukimwi ni msiba wa kujitakia. Jadili.
3. Haki haizami
4. Andika insha itakayomalizika kwa ................hakika ilikuwa siku ya
furaha tele.
MWISHO






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers