Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Bungoma District Mock- Kiswahili Paper 1 Question Paper

Bungoma District Mock- Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2012



102/1
KARATASI YA 1
INSHA
JULAI/AGOSTI 2012
MUDA 1¾
MUUNGANO WA SHULE MBALIMBALI ZA WILAYA YA
BUNGOMA
MTIHANI WA KUJITATHIMINI 2012
KISWAHILI
KARATASI YA 1
INSHA
MUDA: SAA 1 ¾
MAAGIZO
a) Andika insha mbili
b) Insha ya kwanza ni ya lazima
c) Kisha chagua insha moja nyingine kutoka hizo tatu zilizobakia
d) Kila insha isipungue maneno 400
e) Kila insha ina alama 20
1. Umechaguliwa kuwa katibu wa kamati inayotoa mapendekezo ya jinsi ya kupambana na tatizo
sugu la ukabila nchini. Andika ripoti yako
2. Taa haachi mwibawe
3. Teknohama imeleta hasara nyingi kuliko faida. Jadili
4. Andika insha itakayokamilika kwa maneno haya:
Mshitakiwa alimwangalia hakimu kwa macho ya huruma kisha akamwangalia mkewe na wanawe
akatamani kuwaomba msamaha lakini hukumu ilikuwa imetolewa.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers