📘 Access 10,000+ CBC Exams With Marking Schemes

Prepare your learners for success! Get CBC-aligned exams for Grades 1–9, PP1–PP2, Playgroup and High School - all with marking schemes.

Browse Exams

Instant download • Trusted by 100,000+ teachers • Updated weekly

Mathira District Mock- Kiswahili Paper 1 Question Paper

Mathira District Mock- Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2010



JINA: ____________________________________________________________
NAMBA YA MTIHANI ________________
SAHIHI YA MWANAFUNZI ___________
TAREHE: ____________________________
102/1
KISWAHILI
KARATASI YA KWANZA
INSHA
JULAI/AGOSTI 2010
MUDA - SAA 1 ¾
MTIHANI WA PAMOJA - MATHIRA
MAAGIZO
a. Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni lazima.
b. Kisha chagua insha moja nyingine kutoka hizo tatu zilizobakia.
c. Kila insha isipungue maneno 400
d. Kila insha ina alama 20.
1. SWALI LA LAZIMA
Wewe ni katibu wa kamati inayochunguza athari za mafuriko nchini. Andika
ripoti yako.
2. Muungano wa Afrika Masharika una manufaa mengi. Fafanua.
3. Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.
4. Kengele ilipolia tu vioja vilianza ……………… (endeleza)






More Question Papers


Exams With Marking Schemes

End Term 3 Exams

Mid Term Exams

End Term 1 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers