Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kisumu West District Mock- Kiswahili Paper 1 Question Paper

Kisumu West District Mock- Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2011



Jina: …………………………………………………………………… Nambari: ………...………
Shule: ………………………………………………………………. Sahihi ....................................
Tarehe: …………….....................................................................……
102/1
KISWAHILI
KARATASI YA 1
JULIA /AGOSTI 2011
MUDA: SAA 1 ¾
Hati ya kuhitimu kisomo cha Sekondari Kenya (K.C.S.E)
Kiswahili
Insha
MAAGIZO:
• Andika Insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.
• Chagua insha moja nyingine kutoka hizo tatu zilizobaki.
• Kila insha isipungue maneno 400.
• Kila insha ina alama 20 .
Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa chapa. Watahiniwa ni lazima waangalie kama kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa na
kuwa maswali yote yamo.
1. Umeteuliwa kuwa katibu wa kamati inayochunguza mikakati ya kupambana na
rushwa. Andika ripoti itakayowasilishwa kwa mkuu wa wilaya.
2. Eleza matatizo yanayowakumba watoto wa kisasa.
3. Madhara ya simu za rununu ni mengi. Eleza.
4. Maji ukiyavulia nguo yaoge.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers