Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Nandi North District - Kiswahili Paper 1 Question Paper

Nandi North District - Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2007



Name………………………………………………… Index No. …………………….
School ………………………………………………...
102/1
KISWAHILI
KARATASI LA 1
JULAI / AGOSTI. 2007
MUDA: SAA 2 ½
MTIHANI WA MWIGO WILAYA YA NANDI KASKAZINI -2007
Hati ya kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya
102/1
KISWAHILI
KARATASI LA 1
JULAI / AGOSTI. 2007
1. Rafiki yako mnayesoma naye hakurudi shuleni, baada ya likizo. Ulipodadisi
sababu, ulisikia kuwa angetaka kuolewa au kuoa. Mwandikie barua na
umtahadharishe kuhusu hatua hiyo.
2. Mila na desturi za kiafrika ndizo chanzo cha ukandamizaji wa mwanamke katika
jamii nyingi. Jadili.
3. Sikio la kufa halisikii dawa .
4 Andika insha inayomalizikia na:-
“Alianza kubabaika. Kijasho kikaanza kumtoka kwapani. Nikatambua moja kwa
moja kuwa yeye ndiye mkosa.”
Mwisho






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers