📘 Access 10,000+ CBC Exams With Marking Schemes

Prepare your learners for success! Get CBC-aligned exams for Grades 1–9, PP1–PP2, Playgroup and High School - all with marking schemes.

Browse Exams

Instant download • Trusted by 100,000+ teachers • Updated weekly

Narok District Mock- Kiswahili Paper 1 Question Paper

Narok District Mock- Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2007



Jina……………………………………………… Namba yako …………………….
Shule………………………………………………...
102/1
KISWAHILI
Karatasi 1
Julai / Agosti - 2007
MUDA: SAA 1¾
MTIHANI WA MWIGO WILAYA YA NAROK
Hati ya kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya.- 2007
102/1
KISWAHILI
Karatasi 1
Julai / Agosti - 2007
MUDA: SAA 1¾
MAAGIZO KWA MTAHINIWA
• Andika insha mbili. Swali la kwanza ni la LAZIMA
• Kisha uchague insha moja nyingine kutoka hizo nne zilizobakia. Kila insha isipungue maneno.
400.
• Kila insha ina alama 20
Karatasi hii ina kurasa2 zilizopigwa chapa
Watahiniwa lazima wahakikishe kurasa zote zimepigwa chapa sawa sawa na kuwa maswali yote yamo
1. Andika barua kwa rafiki yako wa dhati huku ukimweleza jinsi wewe na familia
yako mlivyoathiriwa na kiangazi katika eneo lenu.
2. Hakimu alimwuliza mshtakiwa sababu za kuwabaka watoto katika kitongoji
chake. Mshtakiwa alitokwa na jasho jembamba. Baadaye alibwatabwata maneno
yasiyoeleweka. Waliangaliana kwa sekunde chache…….Endeleza kisa hiki.
3. Kila binti ana haki ya kumiliki sehemu ya mali ya babake. jadili
4. Kosa moja halimtupi mke.






More Question Papers


Exams With Marking Schemes

End Term 3 Exams

Mid Term Exams

End Term 1 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers