Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Butere District Mock- Kiswahili Paper 1 Question Paper

Butere District Mock- Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2008



Jina: . ………………………………………………… Nambari:…………………………
Shule. ……………………………………….…………
102/1
KISWAHILI
INSHA
KARATASI YA KWANZA
Julai / Agosti 2008
MUDA: SAA 1 ¾
MTIHANI WA MWIGO WILAYA YA BUTERE - 2008
Cheti Cha Kuhitimu Kisomo Cha Sekondari Kenya (K.C.S.E)
102/1
KISWAHILI
INSHA
KARATASI YA KWANZA
Julai / Agosti 2008
MUDA: SAA 1 ¾
MAAGIZO KWA WATAHINIWA
• Andika insha mbili
• Insha ya kwanza ni ya LAZIMA
• Chagua nyingine kutoka hizo tatu zinazofuatia.
• Kila insha ina jumla ya alama 20.
• Kila Insha isipungue maneno 400.
Watahiniwa lazima wahakikishe kurasa zote zimepigwa chapa sawa sawa na kuwa maswali yote yamo.
1. Wewe ni mkuu wa mkoa wa Bonde la Ufa. Andika hotuba utakayoisoma
kwenye mkutano wa hafla kuhusu mikakati itakayochukuliwa na serikali katika
kuhakikisha kuna amani na utangamano mkoani.
2. Simu za rununu zina madhara mengi kuliko manufaa. Jadili.
3. Tatizo la njaa limekithiri tangu nchi nyingi za Afrika zijipatie uhuru. Pendekeza
mikakati ifaayo kufuatwa ili kuimarisha ukuzaji wa chakula cha kutosha nchini
ili kuondoa tatizo la njaa nchini.
4. Andika insha itakayodhihirisha: Mla nawe hafi nawe ila mzaliwa nawe.
Mwisho






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers