Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Phonetics &Amp; Phonology Project. Question Paper

Phonetics &Amp; Phonology Project. 

Course:Bachelor Of Education Arts In Kiswahili And Geography

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2005



INSTITUTE FOR CONTINUING EDUCATION TEACHING SESSION.

AKS 200: PHONETICS & PHONOLOGY PROJECT: TAKE AWAY ASSIGNMENT.

1.0 KAZI YA UTAFITI

- Chunguza fonolojia ya lugha moja ya kiafrika (isipokuwa Kiswahili) na uandae kazi fupi inayozingatia matumizi ya misingi minne ya mfumo wa sauti, yaani: fonimu, silabi, mageuko ya sauti, sifa arudhi.

- Wasilisha utafiti wako kwa maelezo, mifano na michoro, popote panapowezekana.

2.1 Fonimu:

Bainisha fonimu ishirini - tano za vokali na kumi na tano za konsonanti - kupitia mbinu ya jozi finyu.

2.2 Silabi:

- Taja na uwakilishe, kisheria na kimchoro, maumbo yote ya silabi yanayodhihirika katika maneno ya silabi moja.

- Bainisha kwa sheria na mifano kanuni ya silabi ya kawaida.

2.3 Mageuko ya Sauti:

Taja na udhihirishe, kwa mifano ya maneno na sheria za sauti, mageuko matano ya kijumla yanayotawala utohozi wa mikopo kutoka kiingereza.

2.4 Sifa Arudhi:

Dhihirisha, kwa jozi nne za maneno, vile sifa arudhi zozote mbili zinatumika kwa kubainisha maana za kimsingi.

TAHADHARI
- Andika kazi safi
- Hakikisha umefuata utaratibu mwaaka ya kuandaa insha
- Ni muhimu utaje lugha, na hata lahaja, uliyotafitia kwenye ukurasa wa anwani.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers