Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Special Methods In Kiswahili Question Paper

Special Methods In Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education

Institution: Jaramogi Oginga Odinga University Of Science And Technology question papers

Exam Year:2014



JARAMOGI OGINGA ODINGA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY
SCHOOL OF BUSINESS AND ECONOMICS
UNIVERSITY EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION
ARTS
3RD YEAR 1ST SEMESTER 2013/2014 ACADEMIC YEAR
KISII – SCHOOL BASED
COURSE CODE: ECT 316
COURSE TITLE: SPECIAL METHODS IN KISWAHILI
EXAM VENUE: LR 17 STREAM: (BEd arts)
DATE: 29/8/14 EXAM SESSION: 3.00 – 5.00 PM
TIME: 2 HOURS
____________________________________________________________________________
Instructions:
1. Answer Question 1(Compulsory) and any other two questions
2. Candidates are advised not to write on the question paper.
3. Candidates must hand in their answer booklets to the invigilator while in the examination
room.
OASISOF KNOWLEDGE
1. (a) Maarifa kuhusu utaratibu wa kujifunza lugha ya kwanza yana vidokezo vipi vya
kufundishia Kiswahili (alama 10)
(b). Jadili umuhimu wa kuandika insha . (alama 10)
(c ). Je! Mwalimu anapazwa kuzingatia nini anapotoa na kuendesha zoezi la kusoma kwa
sauti. (alama 10)
2. (a). Jadili mambo yanayoweza kuwafanya wanafunzi wasisome kwa ufahamu (alama10)
(b). Ungechukua hatua gani kuwasaidia wanafunzi kama hoa (alama10)
3. (a). Jadili aina mbili za vizuizi vinavyotinga ufahamu sikiz.i (alama10)
(b). Ni mambo gani utakayoyafanya ili kuyatatua? (alama10)
4. (a). Eleza maana ya sarufi. (alama10)
(b). Mafunzo ya sarufi yanamfaa vipi mwanafunzi? (alama10)
5. (a). Eleza shida zinazowatinga wanafunzi wanapoandika insha. (alama10)
(b). Utawasaidiaje ili kuepukana na shida hizo? (alama10)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers