Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Kiswahili Form 2 Cat 1 Term 3 Question Paper

Kiswahili Form 2 Cat 1 Term 3 

Course:Kiswahili

Institution: Form 2 question papers

Exam Year:2013




KISWAHILI KIDATO 2
MJARABU I, MUHULA 3, 2013
MUDA; SAA 1

A) Samaki wan chi za joto (Doreen Baingana)

“Jioni moja tulikuwa tunapiga gumzo chumbani mwa Zac alipofika Peter. Kutoana na tamaa yangu maishani ya kumtafuta mpenzi wa kiume, nilipata nikiulainisha ujanajike wangu Peter alipoingia.”

a) Taja na ueleze sifa mbili za wahusika wafuatao,
i) Christine (alama 4)

ii) Peter (alama 4)


b) Kwa kutoa mifano katika dondoo, taja mfano wa mbinu ya lugha iliyotumika. (alama 2)

c) Kwa kutoa mifano katika hadithi nzima, eleza athari za mapenzi kwa wanafunzi. (alama 12)


Mke wangu(Muhammed Said Abdulla)
“Sasa tulivyokuwa peke yetu, niliona ni wakati wangu kumsoma Aziza ili nipate kumsomesha, kwani kila nikimtazama niliona kuwa Aziza kaelekea kuwa kinyume na vile nilivyomfikiria.”

a) Eleza mambo matano yaliyomfanya msimulizi kuona Aziza akitenda kinyume. (alama 10)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers